Show simple item record

dc.contributor.authorKaranja, Eddah, W
dc.date.accessioned2021-10-01T12:38:02Z
dc.date.available2021-10-01T12:38:02Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155580
dc.description.abstractKatika kazi hii tumezihakiki nwaya za Nguvu ya Sala (1995) ya K.W Wamitila, Walenisi (1998) ya K. vlkangi na Babu Alipofufuka (2003) ya SA. Mohamed. Tumeangalia jinsi waandishi hawa wamelishughulikia swaJa la dini na kuonyesha nafasi yake katika jarnii ya kisasa. Uhakiki huu umegawanywa katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea somo la utafiti, madhurnuni, sababu za kulichagua somo hili, rnipaka na upeo na yaliyoandikwa kuhusu swala la dini. Aidha tumeeJezea misingi ya kinadharia iliyotumiwa katika utafiti huu. Pia tumeelezea njia tulizozitumia katika utafiti wetu. Katika sura ya pili, tumeangalia jinsi dim ilivyosawiriwa katika riwaya ya Nguvu ya Sala. Tumeonyesha jinsi athari mbalimbali za dini zilivyojitokeza katika riwaya hasa katika kizazi kipya. Tumeonyesha jinsi wakati mwingine utamaduni wa wanaj ami i unavyopata ushindi ukilinganishwa na dini. Katika sura ya tatu, turneshughulikia dini katika riwaya ya Walenisi. Hapa tumeonyesha jinsi dim ilivyotumiwa na inavyotumiwa kuwalainisha na kuwadhulumu watu na kuwajaza kasumba ya maisha merna ya baadaye huko Peponi huku wakiteseka duniani. Katika sura ya nne, tumechunguza dim katika riwaya ya Babu Alipofufuka ambapo tumeonyesha jinsi ukengeushi unavyoweza kuwafanya wakwasi waidharau dini kiasi cha kujitoshanisha na miungu Sura ya tano ni hitimisho na mapendekezo.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectNafasi ya Dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika Riwaya za Nguvu ya Sala, Walenisi na Babu alipofufukaen_US
dc.titleNafasi ya Dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika Riwaya za Nguvu ya Sala, Walenisi na Babu alipofufukaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States