Show simple item record

dc.contributor.authorOrucho, Seraphine K
dc.date.accessioned2024-10-04T07:57:30Z
dc.date.available2024-10-04T07:57:30Z
dc.date.issued2023
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/166643
dc.description.abstractUtafiti huu ulikusudia kuchanganua na kujadili kuathirika kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili kutokana na ubadilishaji msimbo katika mazungumzo kati ya wauzaji na wanunuzi katika soko la wazi la Daraja Mbili, mjini Kisii. Soko la Daraja Mbili lilitumika kama kifani cha uhalisia wa ubadilishaji msimbo unaoathiri matumizi ya lugha ya Kiswahili katika masoko ya wazi nchini Kenya, yanayowakutanisha watu kutoka jamii-tumizi lugha mbalimbali. Hata kama soko la Daraja Mbili linaweza kuangaliwa kama soko la kieneo, uchakataji wa data kuhusiana na ubadilishaji msimbo katika soko hili unaakisi ukweli wa ubadilshaji msimbo katika masoko yote ya nchi ya Kenya. Zaidi ya hayo uchakataji wa data ulituwezesha kuafikia malengo ya utafiti huu ya kuchanganua visababishi na vichochezi vya ubadilishaji msimbo, aina za ubadilishaji msimbo na hatimaye athari hasi na chanya za ubadilishaji msimbo katika soko la Daraja Mbili mjini Kisii.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleKuathirika Kwa Kiswahili Kutokana Na Ubadilishaji Msimbo Katika Mawasiliano Ya Biashara: Kifani Cha Diskosi Ya Jua Kali, Soko La Daraja Mbili, Kisiien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States