Uundaji wa nomino katika Kiswahili
Abstract
Katika tasnifu hii tunaangalia njia mbali mbali za uundaji wa nomino katika Kiswahi sanifu.
Sura va kwanza nl utangullzi wa utafiti.Katika utangulizi huu tumejishughullsha no somo la utaflti, madhumuni ya tasnifu, sababu za kuichagua mada hii, yalioandikwa kuhuau mada hii, maingi wa nadharia na
mwishowe njia za utafiti.
Sura ya pili imeanza kwa kutoa muhtasari wa fono1ojia
na mofo1ojia ya Kiawahi11. Imeendelea kushughulikia tara •
tit
za unyambuaji na uamblshajl ambazo zinahuBu kwanzaw utumiaji wa viambisho na pill, kubadili neno 1a kategoria moja hi vi kwamba inaweza kutumlwa katika kategoria nvinglne.
Katika sura ya tatu tumeahughullkla maneno mlkopo na tefsiri mlkopo. Katika kujadli mlkopo hii tumeziahughulikia taratibu za utohozi, akronimu na kaleki.
Citation
"Tasnifu hii imetolewa ili kutosheleza mahitaji ya shahada ya “Master arts” katika chuo kikuu cha Nairobi".Publisher
Department of Arts