dc.contributor.author | Jerono,Prisca | |
dc.date.accessioned | 2013-05-02T08:32:35Z | |
dc.date.available | 2013-05-02T08:32:35Z | |
dc.date.issued | 2003-09 | |
dc.identifier.citation | Jerono, P.(2003). Kishazi huru arifu cha Kiswahili: mtazamo wa X-bar | en |
dc.identifier.uri | http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18291 | |
dc.description | MA - Thesis | en |
dc.description.abstract | Tasnifu hii inajaribu kuonyesha miundo ya virai na vishazi huru vya Kiswahili kwa
mujibu wa nadharia ya X-bar kwa madhumuni ya kuonyesha namna arnbavyo nadharia
hii inavyoweza kutumika kuonyesha miundo ya virai na vishazi pamoja na nafasi ya
vipashio mbalimbali katika miundo hii.
Katika sura ya kwanza tumeangaza kuhusu utangulizi mfupi wa nadharia ya X-bar na
kueleza mada ya utafiti. Vilevile tumeangalia madhumuni ya utafiti, nadharia tete, msingi
wa kinadharia, udurusu wa kazi mbalimbali pamoja na njia za utafiti.
Katika sura ya pili tumeangazia kuhusu dhana ya kategoria na kategoria mbalimbali
zinazotumika katika uundaji wa virai. Vilevile tumeeleza kuhusu dhana ya virai na
kuonyesha virai mbalimbali vinavyotumika katika uundaji wa vishazi huru pamoja na
miundo yao.
Katika sura ya tatu tumeonyesha uchanganuzi wa miundo ya vishazi huru kwa mujibu wa
nadharia hii ya X-bar. Katika uchanganuzi huu tumezingatia miundo ya virai
vilivyoonyeshwa katika sura ya pili.Vilevile kuna maelezo machahe kuhusiana na vishazi
huru na vipashio mbalimbali vinavyotumika katika uundaji wa vishazi huru .
Sura ya nne inatoa mahitimisho kuhusiana na uchanganuzi wa muundo wa kishazi huru
pamoja na mapendekezo kuhusiana na utafiti zaidi katika eneo hili. | en |
dc.description.sponsorship | University of Nairobi | en |
dc.language.iso | en | en |
dc.subject | Kiswahili | en |
dc.subject | X-bar | en |
dc.title | Kishazi huru arifu cha Kiswahili: mtazamo wa X-bar | en |
dc.type | Thesis | en |
local.publisher | Department of Linguistic and Languages, University of Nairobi | en |