Show simple item record

dc.contributor.authorOichoe, Mary P
dc.date.accessioned2013-05-02T12:14:39Z
dc.date.available2013-05-02T12:14:39Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.citationTasnifu hii ime,tolewa kwa madhumuni ya kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili wa sanaa katika chuo kikui] cha Nairobien
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18398
dc.description.abstractKazi hii ni jaribio 1a kutafiti kiulinganishi kirai tenzi eha 1ugha ya Ekegusii na Kiswahili sanifu,kwa kutumia nadharia ya uminimalisti.Tumeshughu1ikia kirai tenzi kimuundo na kiupatanishi kwa kutumia kanuni ya kukagua sifa ya uminima1isti. Kwa muhtasari tumepanga kazi hii katika sura tano .Sura ya kwanza tumeshughu1ikia utangu1izi wa mada yetu kwa kue1eza kirai tenzi ni nini,tumetoa kwa ufupi utangu1izi wa 1ugha hizi mbili.Pia, tumeeleza juu ya tatizo la utafiti, nadharia tete,madhumuni ya somo hili,umuhimu wa utafiti huu,msingi wa nadharia yetu,udurusu wa kazi mbalimbali kuhusu mada yetu na njia za utafiti mbalimbali. Katika sura ya tatu tumeweka msingi wa kirai tenzi kwa kuangalia vipashio vyake.Tumechunguza makundi ya nomino kimofolojia na kisintaksia katika sura ya pili.Sura ya tatu,tumeangalia rnuundo wa k.ilenz.i kuuofolojia kwa kutazama uambishaji na unyambuaji wake.Vipashio vya kirai tenzi tumeviehambua kimuundo katika sura ya nne. Katika sura hiyo pia tumetoa uehanganuzi wa kirai tenzi kwa kutumia kanuni ya kukagua sifa ya uminimalisti.Sura ya sita tumetoa hitimisho na mapendekezo yetu kuhusu kazi hii.Tuligundua kuwa nadharia hii inafanya kazi katika lugha hizi, ingawa zinatofautiana kimuundo na kufanana pia.en
dc.titleUlinganishi wa kirai tenzi cha ks na ek kimofosintaksia: mtazamo wa uminimalistien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Arts-Kiswahilien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record