Show simple item record

dc.contributor.authorMaina, Florence M
dc.date.accessioned2013-05-02T13:02:56Z
dc.date.available2013-05-02T13:02:56Z
dc.date.issued1992
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18434
dc.description'Master of Arts'en
dc.description.abstractTasnifu hii ni utafiti juu ya Kiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4 uliofanyiwa katika jiji la Nairobi. Madhumuni yake ni kuangalia masiala yanayohusu, Kiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4. Imegawanyika katika sura nne. Katika sura ya kwanza kuna mada ya tasnifu, madhumuni ya tasnifu, sababu za kuchagua somo, upeo wa kazi hii, msingi wa kinadharia, ya1iyoandikwa kuhusu swa1a hili, njia za utafiti, matatizo ya utafiti, njia za kuchagua sampuli na mwisho haipothesia. Sura ya pili ni maelezo juu ya sera za lugha ya elimu nchini Kenya kabla na baada ya uhuru, Kiswahili Katika mfumo wa 8-4-4 na vile vile mambo yapaswayo kuzingatiwa katika utekelezaji wa mradi mpya. Katika kazi hii tutatilia maanani somo la Kiswahili. Sura ya tatu ni matokeo ya utafiti kwa jumla. Ina matokeo ya hojaji na uchanganuzi wa data. Pamoja na rnatatizo na yanayokikabili Kiswahili na matatuzi yake • Sura ya nne, ni hitimisho ambayo zaidi ni rnaoni na mapendekezo ya mtafiti juu ya maswali mbali mbali yanayotokana na data Lli.yokusanywa katika utafiti. Marejeo yametolewa baada ya sura ya nne na rnwi.shokabisa ni nakala ya hoj aj iliyotumiwa kama kiongezo.en
dc.language.isoenen
dc.titleKiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4:- utafiti katika jiji la Nairobien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Linguistics and African Languages, University of Nairobien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record