Show simple item record

dc.contributor.authorNkonge, Gakii Lilian
dc.date.accessioned2013-05-03T08:55:05Z
dc.date.available2013-05-03T08:55:05Z
dc.date.issued2006
dc.identifier.citationMasters in (Swahili)en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18589
dc.description.abstractTasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na Nguvu ya Sala. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, tumebainisha tatizolinalotafitiwa, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, pamoja na njiaza utafiti. Aidha tumeangazia udurusu wa kazi mbalimbali pamoja na msingi wa kinadharia. Tumetumianadharia ya kisosholojia inayosisitiza umuhimu wa mazingira yaliyoibusha kazi ya msann. Katika sura ya pili, tumeonyesha athari za udhanaishi zinazobainika katika riwaya ya Kichwamaji. Vilevile mazingira mbalimbali ambayo yamemwathiri Kezilahabi na kumfanya achukuemtazamo wa kidhanaishi yamejadiliwa. Suraya tatu imeangazia udhanaishi katika Nguvu ya Sala. Tumebainisha athari za udhanaishi kupitia maudhui mbalimbali. Aidha tumeonyesha vile ambavyo mwandishi ameathiriwa na mazingiraalimoandikia. Sura ya nne ni hitimisho. Tumehitimisha kwa kutoa maom kuhusiana na kazi hii kwa ujumla.Vilevile, tumetoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en
dc.description.sponsorshipUniversity of Nairobien
dc.language.isoenen
dc.titleAthari za udhanaishi katika kichwa majina nguvu ya sala "en
dc.typeThesisen


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record