Now showing items 1-1 of 1

    • Fonolojia Ya Maneno Mkopo Ya Kinyore Kutoka Kiswahili 

      Anindo, Violet (University of Nairobi, 2021)
      Huu utafiti umechanganua mifanyiko ya kifonolojia ambayo hutokea kwenye maneno mkopo ya Kinyore kutoka Kiswahili. Tofauti baina ya Kiswahili na Kinyore ni kwamba Kiswahili kina silabi funge ambazo haziko katika Kinyore. ...