Search
Now showing items 1001-1001 of 1001
Sitiari, Taashira Na Tashibiha Katika Uwasilishaji Wa Dhamira Katika Utenzi Wa Tambuka: Uhakiki Wa Kimitindo
(University of Nairobi, Kenya, 2011)
Utenzi wa Tambuka ni miongoni mwa tenzi ndefu na za jadi za Kiswahili. Utenzi huu wenye beti 1150 unahusu tukio la vita baina ya Waislamu na Wakristo katika mji wa Tambuka vikiongozwa na Mtume Muhammadi na mfalme Herekali ...