Show simple item record

dc.contributor.authorGitonga, Hannington M
dc.date.accessioned2012-11-13T12:28:39Z
dc.date.available2012-11-13T12:28:39Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3247
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia upembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Kazi imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia maswala ya kimsingi yanayojenga utafiti wetu kama vile: kutambulisha utafiti, sababu ya kuchagua mada, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, malengo ya utafiti, msingi wa kinadharia, upeo na mipaka, yaliyoandikwa kuhusu inaada yetu na njia za utafiti tulizotumia. Katika sura ya pili, tumeshughulikia ubabedumne kama mhimili mkuu wa upembezwaji wa mwanamke. Tumeeleza historia ya ubadume kwa kuwa historia hii inatusaidia kuelewa mfumo wa ubabedume, Baada ya kueleza historia hii, tumezieleza asasi zinazochangia uuendeleza mfumo wa ubabedume. Asasi hizi tumezitajakuwa: dini, ndoa, utamaduni na elimu. Katika sura ya tatu, tumeuhakiki Utenzi wa Fatuma kwa kutumia nadharia ya ufeministi wa kirasimi. Tumethibitisha kuwa asasi za ndoa, dini, na utamaduni ndizo zinazochangia kepembezwa kwa mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Katika sura ya nne, tumeonyesha jinsi lugha inachangia kupembezwa kwa mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Mbinu za lugha tulizozieleza ni ishara na uashiriaji na vilevile mbinu ya sitiari. Tumetoa mahitimisho yetu katika sura ya tano.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUpembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika utenzi wa Fatumaen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record