Show simple item record

dc.contributor.authorKitali, Hillary N
dc.date.accessioned2012-11-13T12:28:46Z
dc.date.available2012-11-13T12:28:46Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3299
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumechunguza matumizi ya fani katika usawiri wa wahusika wa kike katika tamthilia mbili; Pango na Mama ee. Utafiti wetu umegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumebainisha somo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua somo, nadharia tete, yaliyoandikwa kuhusu somo, misingi ya nadharia na mwisho njia za utafiti. Katika sura ya pili tumeangalia vipengele tofauti vya fani katika drama, dhana ya fani ambayo ina vipengele tofauti kama vile lugha, wahusika, mtindo, usimulizi na mwisho mandhari ya usimulizi huo. Katika sura ya tatu, tumechunguza matumizi ya vipengele hivi vya fani katika kazi teule, yaani tamthilia ya Mama ee. Katika sura ya nne tumechunguza matumizi ya vipengele hivi vya fani katika kazi ya pili teule, yaani tamthilia ya Pango. Katika sura ya tano tumehitimisha kwa kuonyesha matokeo ya utafiti wetu katika tamthilia mbili Pango na Mama ee. Tumeonyesha pia matokeo ya utafiti wetu kwa kuzitathmini nadharia tete. Na mwisho tumependekeza utafiti zaidi. Tumehitimisha utafiti wetu kwa kuonyesha marejeleo ya baadhi ya kazi ambazo zimeandikwa kuhusu fani na ambazo ni za kijumla na pia zile zilizoshughulikia utanzu wa tamthilia. Pia tumeonyesha vitabu mbalimbali tilivyovirejelea.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleFani na usawiri wa wahusika wa kike katika tamthilia ya pango na Mama eeen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record