Show simple item record

dc.contributor.authorKineene, Mutiso
dc.date.accessioned2013-06-25T14:16:20Z
dc.date.available2013-06-25T14:16:20Z
dc.date.issued2002
dc.identifier.citationKineene Wa Mutiso (2002). Sufii al-Busiri. AAP 72 (2002), Swahili Forum Ix, 19-24en
dc.identifier.urihttp://www.qucosa.de/recherche/frontdoor/cache.off?tx_slubopus4frontend[id]=10080
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/39862
dc.description.abstractKatika makala hii nitazungumzia tarehe na kazi za al-Busiri mshairi wa kisufii maarufu katika fasihi ya kiislamu na ambaye baadhi ya kazi zake zimetarjumiwa kwa Kiswahili. Mojawapo ya kazi hizi ni Kasida ya Hamziyyah, ambayo ni maarufu sana hususa kwa Kiswahili cha zamani kiitwacho Kingozi. Kazi yake ya pili mashuhuri sana ni Kasida ya Burudai, kasida ambayo ndiyo maarufu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu. Mshairi huyu ingawa ni mashuhuri, ni mgeni sana kwa wasomi wengi wa fasihi ya Kiswahili.en
dc.language.isootheren
dc.titleSufii al-Busirien
dc.typePresentationen
local.publisherFaculty of Artsen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record