dc.contributor.author | Chaga | |
dc.date.accessioned | 2013-07-01T14:35:36Z | |
dc.date.available | 2013-07-01T14:35:36Z | |
dc.date.issued | 2000 | |
dc.identifier.citation | Chaga, MH. 2000. Ulinganishi wa mofofonolojia ya Kiswahili na Kidawida. , Nairobi: University of Nairobi. | en |
dc.identifier.uri | http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/43601 | |
dc.language.iso | other | en |
dc.publisher | University of Nairobi, | en |
dc.title | Ulinganishi wa mofofonolojia ya Kiswahili na Kidawida | en |
dc.type | Thesis | en |
local.publisher | Department of Linguistics & Languages, | en |
dcterms.abstract | Utafiti huu una lengo la kulinganisha fonolojia ya Kiswahili na Kidawida.
Katika sura ya kwanza tuna malcngo ya utafiti ,pamoja na maelczo ya umuhimu wa
utafiti huu. Kwa jumla sura ya kwanza ni muhtasari wa jinsi utafiti huu
utakavyoendeshwa.
Sura ya pili ina tuambo mawili. Kwanza kuna orodha ya mfumo mzima wa fonimu
za Kidawida zikiwa ni za irabu na konsonanti. Pili, kuna orodha ya ngeli-nomino za
Kidawida.
Sura ya tatu inaonyesha mifanyiko sita ya kifonolojia inayotokea katika Kidawida.
Katika sura ya nne tutalinganisha Kiswahili na Kidawida kwa kuzingatia vigezo
viwili. Kwanza, tutalinganisha mifumo ya fonimu za Kiswahili na Kidawida ili kuona
vile zinavyotofautiana na kufanana.Pili, tutalinganisha mifumo ya fonimu za Kiswahili
11a Kidawida kwa kuzipima na zile- fonimu za Bantu-mzazi,i!i tuone vile
zinavyotofautiana na kufanana na Bantu-mzazi.
Sura ya tano pi a ni ulinganishi wa Kiswahili na Kidawida kwa kutumia vigezo
viwili. Kwanza, tutalinganisha motisha ya mabadiliko ya kifonolojia yanayotokea katika
Kiswahili na Kidawida. Pili tutalinganisha upeo wa sheria za kifonolojia katika Kidawida
na Kiswahili tuone ni kwa vipi zinalingana au kutofautiana.
Sura ya sita tutaona hitimisho ya utafiti huu. Tutaeleza matokco ya utafiti huu
kwa muhtasari. Pili tutatoa maoni au mapendekczo kuhusiana na utafiti huu. Mwisho
tutatoa maoni ya kijumla kuhusu Kiswahili na Kidawida. | |