Show simple item record

dc.contributor.authorShitemi, Julius M
dc.date.accessioned2012-11-13T12:32:48Z
dc.date.available2012-11-13T12:32:48Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/4519
dc.description.abstractUtafiti huu unachunguza usimulizi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Utafiti ulitumia nadharia ya naratoJojia. Tulitaka kuchunguza matumizi ya usimulizi katika ushairi kama ilivyo katika bunilizi kama riwaya. Kazi hii imepangwa katika sura sita: Sura ya kwanza inahusisha utangulizi wa kazi hii. Yaliyomo ni pamoja na tatizo la utafiti, dhamira ya utafiti, maswali ya utafiti, sababu za utafiti, upeo na mipaka, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu somo, mbinu za utafiti na mchango wa utafiti. Sura ya pili, imechtmguza usimulizi, Vipengele vya aina za wasimulizi; sifa za usimulizi; kuonekana kwa msimulizi, utegemefu wa msimulizi na hadhi ya msimulizi zimechunguzwa. Sura ya tatu, imechunguza mtazamo katika usimulizi. Mtazamo nje na mtazamo ndani umechunguzwa pamoja ya sawia za mtazamo. Sura ya nne, imechunguza wakati hadithi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Vipengele vya mpangilio wa matukio, umarudio vimechunguzwa. Sura ya tano, imechunguza uwasilishaji mawazo na usemi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Sura ya sita, imefanya tathmini ya vipengele vya usimulizi vilivyotumika katika Utenzi wa Sir; L; Asirali na kutoa mapendekezo.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUsimulizi katika utenzi wa Siri li Asiralien_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record