Show simple item record

dc.contributor.authorWalubengo, Abraham
dc.date.accessioned2012-11-13T12:33:29Z
dc.date.available2012-11-13T12:33:29Z
dc.date.issued2010
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/4751
dc.description.abstractUtafiti huu wneshughulikia suala la upole katika nyimbo na mawaidha katika sherehe za jando zajamii ya Wabukusu. Tulitumia mtazamo wa nadharia ya upole ya Brown na Levinston (1997) basa kipengele cha mikakati ya kuokoa uso. Madhwnuni ya utafiti huu yalikuwa kubainisha kwamba jamii ya Wabukusu huokoa nyuso za wanaohusika kupitia kwa nyimbo na mawaidha katika sherehe za jando za jamii hii. Nyuso za watahiriwa, jamii ya Wabukusu na za jamii nyingine huokolewa kupitia mawaidha na nyimbo za tohara za jamii ya Wabukusu, Katika sura ya kwanza, tulieleza kwa ufupi kuhusu usuli wa mada ya utafiti. Tulieleza tatizo la utafiti na kuorodhesha madhwnuni na nadharia tete za utafiti hull. Katika sura hii pia tulishughulikia sababu za kucbagua marla, upeo wa utafiti, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu marla na njia za utafiti. Twnetumia mbinu ya nyanjani katika kukusanya data katika tarafa ya kimilili na kuichanganua. Twnethibitisha kuwa kuna mikakati mbalimbali ya kuokoa uso chanya na uso basi kwenye nyimbo na mawaidha katika sherehe za jando za jamii ya Wabukusu. Vilevile twnethibitisha kuwa kuna matendo ya kutishia uso katika sherehe za jando za jamii ya Wabukusll. Katika sura ya pili twneshughulikia maana ya fasihi kwa jumla na fasihi simulizi kwa undani. Katika sura ya tatu twnebainisha suala la upole katika fasihi simulizi kwa ujumla Pia tumeeleza suala la upole katika mawaidha na nyimbo katika sherehe za jando za jamii ya Wabukusu. Hitimisho na mapendekezo yametolewa katika sura ya nne. Pia katika sura ya nne twneshughulikia upungufu wa nadbaria ya upole ya Brown na Levinson (1997).en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleSuala la upole katika jando ya jamii ya Wabukusuen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record