Show simple item record

dc.contributor.authorNyonje, Jacktone Winstone
dc.contributor.authorMbuthia, EM
dc.date.accessioned2013-07-16T06:56:53Z
dc.date.available2013-07-16T06:56:53Z
dc.date.issued2006
dc.identifier.citationNyonje. 2006. : “Mwono Ulimwengu wa Waswahili” . (Dr. Mbuthia E.M., Ed.)., Nairobi: University of Nairobien
dc.identifier.urihttp://profiles.uonbi.ac.ke/mbuthia/publications/%E2%80%9Cmwono-ulimwengu-wa-waswahili%E2%80%9D
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/47921
dc.description.abstractTasnifu hii lmegawika katika faslu nne. Sura ya kwanza inahusu pendekezo la utafiti, sababu za kuchagua somo hili, msingi wa nadharia, malengo, yaliyoandikwa kuhusu mada, upeo, haipothesia na njia za utafiti. Sura ya pili imeangazia historia ya Waswahili, ufafanuzi wa dhana ya mwonoulimwengu, elementi za mwonoulimwengu, njia za kuelezea mwonoulimwengu wa waswahili. Sura ya tatu inaangalia mwonoulimwengu wa Waswahili katika kazi ya Carl Velten: Desturi za Waswahili iliyohaririwa na Lydon Harries, Seira hii imeangia: Hatua mbalimbali za maisha - kuzaliwa kwa mtoto, malezi ya watoto, elimu, tohara, na ndoa. Sura ya nne ni hitimisho la tasnfiu.
dc.language.isoenen
dc.publisherUniversity of Nairobi,en
dc.titleMwono ulimwengu wa Waswahilien
dc.typeThesisen
local.publisherFaculty of Artsen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record