Show simple item record

dc.contributor.authorMwaniki, Peter N
dc.date.accessioned2012-11-13T12:35:52Z
dc.date.available2012-11-13T12:35:52Z
dc.date.issued2009
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/5227
dc.description.abstractTasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) na Usaliti Mjini (1994). Utafiti wetu umeehunguza jinsi dhana ya aina za ulinganifu inaweza kuwepo au kutokuwepo katika kazi zilizotafsiriwa. Tasnifu hii imejengeka katika sura nne. Sura ya kwanza tumetoa some 1a utafiti, madhumuni ya utafiti, misingi ya kinadharia. nadharia tete na vilevile tumerejelea yaliyoandikwa kuhusu somo letu la utafiti. Katika sura ya Pili tumezingatia fafanuzi za dhana ya ulinganifu pamoja na kujadili aina mbalimbali za ulinganifu, Sura ya tatu ndieho kiini eha utafiti huu ambapo tumechunguza aina za ulinganifu katika kazi ya kifasihi ya Usaliti Mjini. Tumejadili ulinganifu wa kimaumbo. kiuarnili, kisarufi, kitamathali, kiisimu, kimuktadha na kimaudhui. Sura ya nne ni hitimisho. Tumeeleza matokeo ya utafiti wetu na athari zake na kisha tukatoa mapendekezo yetu.en
dc.language.isoenen
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen
dc.titleDhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjinien
dc.typeThesisen


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record