Show simple item record

dc.contributor.authorMbayi, Lina A
dc.date.accessioned2012-11-13T12:36:00Z
dc.date.available2012-11-13T12:36:00Z
dc.date.issued2009
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/5262
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uhakiki wa (ani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu za kuchagua mada hii na kuorodhesha madhumuni ya utafiti huu. Isitoshe, tumeufafanua msingi wa nadharia tuliotumia katika utafiti huu na kupitia yaliyoandikwa kuhusu mada tunayoishughulikia. Katika sura ya pili tumeeleza dhana ya fani hatimaye tumetaja na kufafanua kwa kina vipengele mbalimbali vya fani. Vipengele vya fani tulivyoshughulikia ni wahusika, mandhari, toni, wakati, usimulizi, msuko, umbo na lugha. Tumeeleza maana zake na jinsi vinavyotumika katika uhakiki wa kifani. Katika sura za tatu na nne tumezihakiki tenzi za Howana Mwana Howani na Mwanakukuwa kwa kutumia misingi ya uhakiki wa kifani kama tulivyofafanua katika sura ya pili. Tumetathmini jinsi msanii alivyotumia vipen&ele vya fani kujenga kazi zake. Kwa kila kipengele tumetoa mifano kutoka katika tenzi kuonyesha namna fani hizo zilivyojenga tenzi. Sura ya tano ni hitimisho ambapo tumeeleza tuliyoyatambua na kutoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUhakiki wa fani katika tenzi za howani mwana howani na mwanakukuwa za Zaynab Himid Mohammeden_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record