Show simple item record

dc.contributor.authorMukabane, Geoffrey O
dc.date.accessioned2012-11-13T12:36:03Z
dc.date.available2012-11-13T12:36:03Z
dc.date.issued2009
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/5285
dc.description.abstractUtafiti huu ni kuhusu uchanganuzi wa vishazi vumishi kisintapragmatiki. Vishazi vumishi vina uamilifu wa kisintaksia na nadharia iliyotwnika katika utafiti huu ni Nadharia ya Uhusiano. Kwa hivyo, sintaksia na pragmatiki kama matawi ya isimu yamefungamanishwa katika utafiti huu hivyo basi kuitwa sintapragmatiki. Sura ya kwanza imeshughulikia kuweka bayana mada ya utafiti, madhumuni, upeo na mipaka na jinsi utafiti ulivyoshughulikiwa. Katika sura ya pili, ufafanuzi, ulinganishi na ulinganuzi wa vishazi mbalimbali umesawiriwa. Sura ya tatu imechanganua vishazi vumishi katika Kiswahili Sanifu na kutoa mifano na aina za vishazi vumishi hivi. Sura ya nne imesawiri jinsi pragmatiki inavyofungamana na sintaksia. Maana halisi ya msemaji hupokelewa na hadhira iwapo wana uhusiano wa hali ya juu. Kwa hivyo, uchanganuzi wa vishazi vumishi kwa msingi wa Nadharia ya Uhusiano umesawiriwa. Sura ya tano, ndiyo sura ya mwisho. Sura hii imehitimisha utafiti huu na kutoa mapendekezo ya kufanyiwa utafiti zaidi.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUchanganuzi Wa Vishazi Vumishi Kisintapragmatiki: Ulinganishi Na Ulinganuzi Na Vishazi Vingine Vya Kiswahili Sanifuen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record