Show simple item record

dc.contributor.authorOtiende, Merolyne A
dc.date.accessioned2013-11-19T06:27:42Z
dc.date.available2013-11-19T06:27:42Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.citationTasnifu hii imewasilishwa kwa ajili ya kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili ya Kiswahili katika chuo kikuu cha Nairobi. (2013)en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/59341
dc.description.abstractUtafiti huu una lengo la kuchanganua athari za kimofofonolojia za Kiolusuba katika matumizi ya Kiswahili Sanifu kama lugha ya pili. Utafiti huu umetumia nadharia ya FZA kuchambulia miundo ya lugha hizi mbili ili kuweka bayana athari hizo. Sura ya kwanza ni muhtasari wa jinsi utafiti huu ulikavyofanywa. Imeshughulikia utangulizi, madhumuni, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka, yaliyoandikwa kuhusu mada hii, msingi wa nadharia na njia za utafiti. Sura ya pili imeshughulikia ulinganishi wa mifumo kamili ya fonimu za Kiswahili na Kiolusuba huku ikionyesha sifa bainifu za fonimu hizo. Aidha tumetoa mifano ya maneno yanayoundwa na fonimu hizo. Katika sura ya tatu, tumelinganisha na kulinganua miundo ya silabi katika Kiswahili na Kiolusuba. Katika sura ya nne, tumeshughulikia mambo mawili. Kwanza, tumeziorodhesha ngeli za nomino za Kiolusuba. Kisha, tumeshughulikia mifanyiko ya kifonolojia inayohusu irabu na konsonanti za lugha hizi mbili huku tukionyesha peo za mifanyiko hiyo. Data ya maneno yanayoonyesha baadhi ya athari za kisauti za Kiolusuba katika Kiswahili Sanifu imechanganuliwa katika sura ya tano. Maumbo sahihi yameonyeshwa huku maelezo yakitolewa kuhusu athari zenyewe. Katika sura ya sita tumetoa hitimisho pamoja na matokeo ya utafiti huu kwa muhtasari. Mwisho, tumetoa maoni na mapedekezo kuhusiana utafiti huu.en
dc.language.isootheren
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleAthari Za Kimofofonolojia Za Kiolusuba Katika Matumizi Ya Kiswahili Sanifu Kama Lugha Ya Pilien
dc.typeThesisen
local.publisherFaculty of Artsen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record