Uhakiki wa tamthilia ya Amezidi kama kazi ya kiubwege
dc.contributor.author | Magare, A.F | |
dc.date.accessioned | 2014-02-25T06:47:02Z | |
dc.date.available | 2014-02-25T06:47:02Z | |
dc.date.issued | 2014-02-25 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/11295/64907 | |
dc.description.abstract | Tasnifu hii naitabarukia mamangu mpendwa Mary Nyaboke Magare. "Mama umeteseka, umesononeka na umeaibishwa kwa sababu ya malezi yako mema. Naomba usilie mama. Mtoto wangu Lilian aliyezaliwa tarehe kumi julai mwaka huu ningali niking’ang’ana na kazi hii naomba awe kitulizo cha roho yako. Nimempa jina ‘Nyaboke’ - Tuzo lako mama.” Hakuna tofauti kati ya kilio na kicheko, vyote ni makelele. | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.title | Uhakiki wa tamthilia ya Amezidi kama kazi ya kiubwege | en_US |
dc.type | Article | en_US |