Show simple item record

dc.contributor.authorMuthoni, Margaret
dc.date.accessioned2014-11-28T11:42:17Z
dc.date.available2014-11-28T11:42:17Z
dc.date.issued2014-11
dc.identifier.citationShahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Nairobien_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/75630
dc.description.abstractTumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi kutoa mifano tuliangazia kazi nyingine kwa ufupi sana.Uchanganuzi wetu uliongozwa na nadharia mbili: Uhalisia uliotuongoza katika uchanganuzi wa maudhui na Umitindo uliotuongoza katika uchanganuzi wa mtindo. Katika utafiti wetu tuling’amua ya kwamba, jamii ya Tikitimaji ilikumbwa na changamoto nyingi ambazo wanajamii wanakabiliana nazo ili maisha yao yaweze kutengenea.Baadhi ya changamoto hizi ni uharibifu na uchafuzi wa mazingira, utelekezaji wa watoto, udhalimu na unyanyasaji, miundo msingi mibovu na mfumo mbaya wa uchukuzi, umaskini na athari zake, mchango wa vijana katika ujenzi wa jamii mpya na jinsi wanavyoshirikiana na wazee katika suala hili. Maudhui haya yameendelezwa kwa kutumia lugha yenye mvuto na mnato unaowavutia wasomaji na kuipa riwaya hii ujumi mwafaka. Utafiti wetu umegundua kwamba, masuala yanayowakabili wanatikitimaji ni ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambapo walala heri wanawanyanyasa walala hoi, jambo linalozua migogoro baina ya makundi haya mawili.Kundi la walala heri linapigania kuendeleza unyanyasaji nalo la walala hoi likikazana kujikomboen_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUhakiki Wa Maudhui Na Mtindo Katika Tikitimajien_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record