Show simple item record

dc.contributor.authorNyangeri, Nahashon A
dc.date.accessioned2014-12-01T08:42:47Z
dc.date.available2014-12-01T08:42:47Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.citationMasters of arts in Kiswahilien_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/75737
dc.description.abstractHuu utafiti ulihusu matumizi ya nadharia ya vitendo usemi kusuluhisha tatizo la ulinganifu katika tafsiri. Msisitizo ulitiliwa kwenye ngazi ya ilokusheni ambapo swali kuu lililoongoza utafiti wenyewe ni kutatokea nini iwapo nadharia ya vitendo usemi (VU) itahuruhijwa na kutumiwa kama msingi wa kushughulikia tafsiri ya Kiswahili? Nadharia ya VU inaweza kuwa faafu, iwapo, mihimili yake itaeleweka na jinsi VU huibuliwa katika lugha lengwa (LL). Miundo ya kuibua VU ambavyo tumeainisha kwa kuzingatia kielelezo cha Searle imeshughulikiwa. Nadharia za ulinganifu na ufasiri zimetumiwa kwenye uchunguzi huu. Ili kutathmini ufaafu wa nadharia yenyewe katika kusuluhisha matatizo ya utafiti, nadharia za ufasiri na ulinganifu zimetumiwa kuchunguza tafsiri za kazi mbili za Barbara Kimenye zilizoteuliwa kama kielelezo huku ukamilifu wa lugha katika mikabala ya isimu, fasihi na ishara ukizingatiwa. Mifano ya VU mbalimbali vinavyojitokeza kwenye kazi hizi imechanganuliwa. Pale kunakojitokeza usolinganifu, tunapendekeza tafsiri faafu kwa mujibu wa isimu tendaji. Tumesisitiza umuhimu wa kuzingatia vipengele vya pragmatiki katika uibushi wa maana ili kufanikisha mawasiliano.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleVitendo Usemi Na Ulinganifu Wa Maana Katika Tafsiri: Mifano Kutoka Tafsiri Za Kazi Mbili Teule Za Barbara Kimenyeen_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record