Show simple item record

dc.contributor.authorNgome, Mariam D
dc.date.accessioned2014-12-08T06:14:55Z
dc.date.available2014-12-08T06:14:55Z
dc.date.issued2014-11
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/76457
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uchambuzi linganishi wa maudhui na majukumu ya nyimbo za harusi za Wadigo na Waswahili. Kazi hii imegawanywa katika su ra nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu. Tumeele zea swala la utafiti, madhumuni na nadharia tete zilizotuongoza. Aidha, sababu za utaf iti zimeelezwa pamoja na upeo na mipaka. Msingi wa nadharia wa utafiti umefafanuliwa na yali yoandikwa kuhusu mada yalijadiliwa. Mwisho, mbinu za utafiti zimebainishwa na uchanganu zi wa data umefanywa. Katika sura ya pili, tumeshughulikia utaratibu wa ndoa na harusi z a Wadigo na Waswahili. Aidha, katika sura ya tatu tumeangazia maudhui na majukumu katika nyim bo za harusi za Wadigo na Waswahili. Mbali na haya, pia tumeshughulikia walengwa wa ujum be katika nyimbo hizi. Mbali na hayo, tumelinganisha na kutofautisha maudhui na majukumu yanayojitokeza katika nyimbo za harusi za Wadigo na Waswahili. Sura ya nne, ambayo ndio ya mwisho, tumejikita katika matokeo ya utafiti, changamoto tulizokumbana nazo na pia tumet oa mapendekezo ya utafiti wa baadaye kuhusu mada hiien_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Majukumu Ya Nyimbo Za Harusi Za Wadigo Na Waswahilien_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record