Obwogi, Dickens, B (University of Nairobi, 2021)
Tasnifu hii inahusu uhakiki wa kimtindo wa Utenzi wa Vita vya Uhud nakala ya Haji Chum 1970. Tumehakiki namna vipengele vya kimtindo vimetumika katika utenzi huu kama vile: wahusika na uhusika wao, muundo, tamathali za ...