Gwako, Jackline B (university of Nairobi, 2016)
Tasnifu hii imeshughulikia maadili kwa vijana wa kiume yanayojitokeza katika tenzi za
Siraji na Adili. Katika utafiti huu tumeongozwa na nadharia ya maadili ambayo inalenga
kazi za fasihi kutatua matatizo ya jamii kwa ...