Otuoma, Damarice A (University of Nairobi, 2015)
Katika utafiti huu tunalenga kuchanganua vibonzo katika gazeti la Taifa Leo. Matumizi ya
mikakati ya vibonzo katika diskosi huweza kuzua utata katika kufasiri ujumbe ulionuiwa
kumfikia msomaji. Tamko la msemaji au mwandishi ...