Gikambi, Hezekiel P (University of Nairobi, 2015)
Utafiti wa lugha kuegemea mitazamo ya kikompyuta umetamalaki katika lugha zilizoendelea
kidijitali kama Kiingereza na nyinginezo ila dhana hii haijakita mizizi kabisa katika utafiti wa
lugha za Kiafrika kama Kiswahili. ...