Zani, Mwazani, E (University of Nairobi, 2015)
Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani.
iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed
amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika ...