Marisya, Phanice (University of Nairobi, 2017)
Tuliamua kuchunguza jinsi mwandishi wa riwaya za Kidagaa Kimemwozea na Ndoto ya Almasi ametumia lugha ya kipekee anaporejelea masuala ya dini ya Kikristo ili kubainisha: sifa za sajili ya dini ya Kikristo zinavyojitokeza, ...