Now showing items 1-1 of 1

    • Riwaya Ya Nguvu Ya Sala Ya K.w Wamitila 

      Njuguna, Samuel M (University of Nairobi, 2016)
      Kazi yetu imechunguza vipengele vya fani. Tulifafanua dhana ya fani kwa kusema kuwa, fani ni vipengele vya kisanaa katika kazi ya fasihi. Aidha, fani ni jinsi ambavyo msanii hufinyanga kazi yake ili msomaji apate ujumbe ...