Amolloh, Shadrack (University of Nairobi, Kenya, 2012)
Utafiti huu umejaribu kuhakiki hatua za serikali za kutekeleza sera mpya ya lugha ya matumizi rasmi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia katika shule za msingi. Sera mpya ya lugha katika utafiti huu ni ile kauli ya Katiba ...