Obure, Elijah M (University of Nairobi, Kenya, 2012)
Utafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) . Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inasusu ...