Otiende, Merolyne A (University of NairobiFaculty of Arts, 2013)
Utafiti huu una lengo la kuchanganua athari za kimofofonolojia za Kiolusuba katika matumizi ya Kiswahili Sanifu kama lugha ya pili. Utafiti huu umetumia nadharia ya FZA kuchambulia miundo ya lugha hizi mbili ili kuweka ...