Sabula, Millicent A (University of Nairobi, 2014)
Fasihi ya kiekolojia ni uwanja uliochipuka miaka ya 1970 na kuendelea miaka ya 1990
kuchanganua, kuchambua na kuhakiki kazi za kifasihi. Uwanja huu unalenga kuangazia fani na
maudhui katika matawi ya fasihi kiekolojia ...