Show simple item record

dc.contributor.authorMboti, Dorine
dc.date.accessioned2013-02-12T14:48:06Z
dc.date.available2013-02-12T14:48:06Z
dc.date.issued2012
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/9543
dc.description.abstractUtafiti huu ulishughulikia mtindo katika nyimbo za rnichezo ya watoto wa darasa la kwanza, katika tarafa ya starehe Nairobi. Lengo kuu la utafiti huu Iimekuwa ni kubainisha matumizi ya tamathali za semi katika nyimbo za michezo ya watoto. Katika sura ya kwanza, tulieleza kwa ufupi kuhusu usuli wa mada ya utafiti, tulieleza tatizo la utafiti na kuorodhesha madhumuni na nadharia tete za utafiti huu. Katika sura hii pia, tulishughulikia sababu za kuchagua mada, upeo wa utafiti, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada na njia za utafiti. Utafiti wetu ulianzia maktabani kisha tukamalizia nyanjani. Katika sura ya pili, tullshughulikia nyimbo: aina na majukumu ya nyimbo kwa jumla. Katika sura ya tatu, tulishughulikia matumizi ya tamathali za semi katika nyimbo za michezo ya watoto kwa jumla kwa kurejelea mtazamo wa kinadharia ya uhakiki wa mitindo. Katika sura ya nne, tulishughulikia nyimbo za watoto wasichana. Hatimaye, katika sura ya tano, tulishughulikia nyimbo za michezo ya watoto wavulana. Hitimisho na mapendekezo yametolewa katika sura ya sita. Aidha ina sehemu ya muhtasari wa matokeo ya utafiti huu kwa misingi ya nadharia tete zilizoongoza uchunguzi huu na matatizo tuliyokumbana nayo katika utafiti huu.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleMtindo katika nyimbo za mchezo ya watoto wa darasa la kwanza, katika tarafa ya Starehe Nairobien_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record