Show simple item record

dc.contributor.authorMukuria, Davies M
dc.date.accessioned2016-06-30T04:27:42Z
dc.date.available2016-06-30T04:27:42Z
dc.date.issued1987
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/96609
dc.description.abstractKatika tasnifu hii, tumeuangalia uainisha^i v:a ngeli kama unavyojitokeza katika Kisv:ahili sanifu na Kikikuyu cha Kiam'bu. Kwa hivyo tasnifu hii imejikita katika sarufi linganishA, Sura ya kwanza, ni utangulizi wa utafiti. Hanbo yaliyojadiliwa katika utangulizi huo ni: Somo la utafiti, Lugha na v:atu, madhumuni ya sono tunalolishughulikia, upeo v:a somo, na yaliyoandikv.Ta kuhusu soeo tunalolishughulikia. Pia katika sura hiyo tumezitoa sababu zetu za kulichagua some letu, nsingi wa nadharia tulioitumia, na vilevile njia za kufanyia utafiti. Sura ya pili inezishughulikia ngeli za Kisvahili sanifu. Katika sura hiyc, tumejadili kuhusu idadi ya ngeli zilizoko katika Kiswahili sanifu. Fia tumeonyesha jinsi majina ya lugha hiyo yanavyohusiana na vipande vingine "/ya sarufi. hisingi ya kimaana inayodhihirika katika ngeli za Kiswahili sanifu pia inejadiiiwa. Katika sura ya tatu, tumezijadili ngeli za Kikikuyu. Kbinu zilizozingatiwa katika kuzieleza ngeli hizo ni sawa na ziie zilizoruniwa kataka sura ya pili. Yaani misingi ya kimaana na viano wa kisarufi. Katika sura ya nne tumetoa ulinganishi v:a ngeli kana unavyojitokszs katika lugha nbili tulizozishughulikia. Tunejadili jinsi ngeli za lugha hizo zinavyofanana na *cutof aut iana. ulirit a.nishi v;etu urezinratia v:iano v;a kisarufi na misingi ya k irn a an a • Sura ya tano ni hitinishc la utafiti vretu. Katika sura hiyo, tumezi^adili kauli nuhimu zilizotokea na kujadiliv.ra katika sura zilizotangulia. Aidha, ni katika sura hiyo ainbapo tumeyatoa mapendekezo kuhusu utafiti unaoweza kufanywa juu ya mpangilio wa ngeli za Kibantu.
dc.language.isoenen_US
dc.subjectMpangilio wa ngelien_US
dc.titleMpangilio Wa Ngeli:ulinganishi Wa Ngeli Za Kiswahili Sanifu Na Kikuyu Cha Kiambuen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record