Show simple item record

dc.contributor.authorGaichu, Misheck
dc.date.accessioned2016-11-25T13:02:54Z
dc.date.available2016-11-25T13:02:54Z
dc.date.issued2016
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/97874
dc.description.abstractUtafiti huu ulilenga kuchunguza lugha kama inavyotumiwa katika methali za sitiari za Kiswahili. Methali za kisitiari zimebainisha kuwa maana halisi ya neno inaweza kubadilika na kuchukua maana nyingine ambayo ni tofauti na maana ya kiisimu ya neno husika. Utafiti huu ulilenga kuchunguza umbo la kileksika na kuchunguza namna muktadha limamotumika neno huweza kubadilisha maana halisi ya neno lililotumika kama sitiari katika methali za sitiari. Matokeo ya utafiti huu yamethibitisha kuwa maana halisi ya leksimu hubadilika na maana mpya huafikiwa kulingana na kanuni ya mawasiliano, kanuni tambuzi pamoja na muktadha ambapo neno hutokea. Huhamishaji huu- wa maana- hupatikana baada ya kuwezesha vitomeo vya kiensaiklopedia ambavyo husababisha upanuaji wa dhana husika. Katika utafiti huu tulishughulikia usuli wa mada, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, haipothesia, upeo na mipaka ya utafiti, sababu ya kuchagua mada, yaliyoandikwa kuhusu mada, msingi ya kinadharia, na mbinu za utafiti. Aidha, tumeshughulikia historia na maendeleo ya ufasiri wa sitiari na uainishaji wa methali na sitiari: kulingana na maoni ya wataalamu kama vile: Sperber na Wilson, Lakoff na Johnson na Shelestiuk. Sifa na femomena za jumla zinazopatikana katika sitiari za methali za Kiswahili. Mwisho, tumechanganua leksimu zinazopatikana katika methali za Kiswahili kutoka kwa methali teule na kuonyesha namna maana ya neno- lililotumiwa kisitiari-huafikiwa kulingana na muktadha ilichunguzwa. Baadaye tumeotoa muhtasari, hitimisho na mapendekezo ya kile tulichoshughulikia katika utafiti huu. Aidha, mapendekezo ya yale yanayofaa kuchunguzwa katika siku za baadaye pia yalitolewa.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity Of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUchunguzi Wa Sitiari Dhanifu Katika Methali Za Kiswahili -mtazamo Wa Nadharia Ya Uhusianoen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States