Show simple item record

dc.contributor.authorMwakio, Lonyce W
dc.date.accessioned2017-01-06T08:57:16Z
dc.date.available2017-01-06T08:57:16Z
dc.date.issued2016
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/99569
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tashbiha, sitiari na tashbiha katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ambayo ni mojawapo ya hadithi fupi za Kiswahili iliyo na hadithi kumi na tatu zilizoandikwa na waandishi mbalimbali. Katika utafiti huu, mchango wa tamathali hizi za usemi ulichunguzwa katika kuwasilisha dhamira na maudhui ya waandishi wa hadithi zilizo katika diwani hii. Ni hadithi saba kati ya kumi na tatu tulizozishughulikia ambazo tulizichagua kwa kutumia sampuli ya kusudi. Utafiti uliofanywa umekuwa wa maktabani ambapo data iliyokusanywa ilikuwa data isiyo msingi kwani tulitegemea habari zilizohifadhiwa kwenye maandishi mbalimbali. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa, waandishi wa hadithi katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine walitumia mbinu za tashbiha, istiari na taashira kwa utoshelevu na kwa njia mwafaka ili kufikia hadhira yao teule kwa njia ya kisanaa. Utafiti huu umeleta uelewa zaidi wa matumizi ya tamathali hizi kwa kazi husika.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMatumizi ya lughaen_US
dc.subjectMatumizi ya lughaen_US
dc.titleMatumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingineen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States