Show simple item record

dc.contributor.authorKolongei, Purity C.
dc.date.accessioned2017-12-08T13:02:56Z
dc.date.available2017-12-08T13:02:56Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/101716
dc.description.abstractUtafiti huu una lengo la kuchanganua fonolojia arudhi ya nomino mkopo za Kikeiyo kutoka kiswahili sanifu. Uchanganuzi umetumia nadharia ya fonolojia vipandesauti huru inayochukulia kwamba vipandesauti vinafaa kuwakilishwa katika rusu na kila rusu huwakilisha sifa tofautitofauti. Nadharia hii imetumika kuchanganua miundo ya silabi na toni katika Kikeiyo. Nadharia ya fonolojia mizani nayo imetumika kuchanganua sifa ya mkazo katika Kikeiyo. Fonolojia ya Kikeiyo ilichunguzwa kwa kuangazia mifumo ya vokali na konsonanti ambazo hukutanishwa kuunda silabi. Miundo mbalimbali ya silabi ilielezwa. Toni na silabi ni vipashio ambavyo huwekwa kwenye silabi. Iligunduliwa kuwa uzani wa silabi huathiri mahali mkazo huwekwa katika Kikeiyo. Baada ya kuchanganua fonolojia ya Kikeiyo na kulinganua na ya Kiswahili, ilionekana kwamba nomino zinapoingizwa kutoka Kiswahili hupokea sifa za kiarudhi za Kikeiyo. Miundo ya silabi inabadilika na pamoja na miundo hii, nafasi ya mkazo inasongezwa. Toni hudhihirika katika nomino mkopo tofauti na nomino hizi asilia kwa sababu Kiswahili si lugha toni.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleFonolojia Arudhi Ya Nomino Mkopo Za Kikeiyo Kutoka Kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States