Show simple item record

dc.contributor.authorOtwera, Albert, O
dc.date.accessioned2017-12-11T05:55:41Z
dc.date.available2017-12-11T05:55:41Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/101732
dc.description.abstractSuala la ulinganifu katika tafsiri si la kiwango cha maneno na sentensi pekee yake. Uelewa wa vipengele vingine vya ulinganifu kama vile aina za matini na rejesta una natija kwa mfasiri kwa kuwa humwezesha kubaini mbinu mwafaka ya kutafsiri matini ya aina fulani anayoishughulikia. Utafiti huu umeshughulikia nafasi ya aina za matini na nduni zake katika kushawishi mbinu za tafsiri kwa kutathmini vitabu vya Mwanzo II, Kutoka 20 na Zaburi 23. Dhana ya aina za matini imefafanuliwa kwa kina. Tumeainisha aina kadha za matini na kuonyesha jinsi ambavyo nduni zake zinavyoshawishi mbinu za tafsiri. Tumeonyesha umuhimu wa upekee na umbo la kila matini na uamilifu wake wa kimawasiliano katika uhawilishaji wa ujumbe wa matini chanzi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectNafasi Ya Aina Za Matini Katika Kushawishi Mbinu Za Tafsiri: Tathmini Ya Mwanzo, Kutoka Na Zaburi Katika Biblia.en_US
dc.titleNafasi Ya Aina Za Matini Katika Kushawishi Mbinu Za Tafsiri: Tathmini Ya Mwanzo, Kutoka Na Zaburi Katika Bibliaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States