Show simple item record

dc.contributor.authorEndovu, Braicy I
dc.date.accessioned2017-12-13T06:54:34Z
dc.date.available2017-12-13T06:54:34Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/101818
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia suala la upole kama linavyodhihirishwa katika tamathali za usemi na ukuzaji wa maudhui katika tamthilia ya Mstahiki Meya. Tumetumia mtazamo wa Nadharia ya Brown na Levinson (1987) hasa kipengele cha mikakati ya upole. Data ya utafiti huu ilitokana na uchambuzi wa matamshi ya wahusika katika tamthilia ya Mstahiki Meya. Lengo la kwanza la utafiti huu lilikuwa ni kubainisha iwapo tamathali za usemi hudhihirisha upole katika mazungumzo ya wahusika. Matokeo yanadhihirisha kuwa, tamathali za usemi katika tamthilia ya Mstahiki Meya zimedhihirisha upole kutoka na namna wahusika wanavyoingiliana. Lengo la pili la utafiti huu lilikuwa kubainisha iwapo upole hudhihirika katika ukuzaji wa maudhui katika tamthilia ya Mstahiki Meya. Utafiti huu ulidhamiria pia kuchunguza iwapo miktadha mbalimbali ya mazungumzo huchangia kudhihirisha upole. Matokeo yanaonyesha kuwa, matumizi ya mikakati ya upole hudhihirika kupitia miktadha mbalimbali ya mawasiliano. Kwa jumla, utafiti huu umedhihirisha kuwa, upole una nafasi kubwa katika kuimarisha kazi ya tamthilia. Kwa hivyo, ndiposa mawasiliano yakamilike ni lazima viwango na matumizi ya mikakati ya upole ya wahusika yazingatiween_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMikakati Ya Upole Katika Mstahiki Meya Ya Timothy Aregeen_US
dc.titleMikakati Ya Upole Katika Mstahiki Meya Ya Timothy Aregeen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States