Show simple item record

dc.contributor.authorNyamboga, Daniel
dc.date.accessioned2019-01-17T13:15:02Z
dc.date.available2019-01-17T13:15:02Z
dc.date.issued2018
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/105007
dc.description.abstractUtafiti huu ulipania kuchunguza mifichamo katika mashiri mawili teule ya Mrisho Mpoto ya Nikipata Nauli na Sizonje. Kwa kutumia maoni ya Grice (1975) kuhusu kanuni za utaratibu wa ushirikiano wa kimazungumzo tuliaangalia jinsi ukiukaji wa kanuni za ukweli, idadi, uhusiano na namna unavyozua mifichamo katika kauli. Tulichunguza mashairi hayo teule ili kutambua kauli zinazokiuka kanuni za utaratibu wa ushirikiano wa kimazungumzo na kuhakiki mifichamo inayojitokeza kwa msikilizaji kutokana na ukiukaji wa kanuni hizo. Aidha tulionyesha namna mfichamo huo unavyochangia katika kukuza maudhui mbali mbali katika mashairi haya mawili. Utafiti huu, unapendekeza kutumia mtazamo wa kipramatiki-mitindo, wa kuhakiki kazi za kisanaa katika kuonyesha namna mtindo wa matumizi ya lugha wa Mrisho Mpoto ulivyochangia katika kuleta ukiukaji wa kanuni katika kauli zake. Aidha tuliangalia mchango wa mkutadha katika ufasiri wa maana za kazi za kifasihi. Kwa kufanya hivyo tuliona namna kanuni au maarifa ya kipragmatiki yalivyotumika kueleza maana katika kazi ya kisanaa, hasa ushairi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMifichamo Katika Mashairi Ya Mrisho Mpoto: Nikipata Nauli Na Sizonjeen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States