Show simple item record

dc.contributor.authorNzilu, Muinde D
dc.date.accessioned2019-01-25T08:31:52Z
dc.date.available2019-01-25T08:31:52Z
dc.date.issued2018
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/105581
dc.description.abstractMada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia za Pungwa, Kivuli Kinaishi na Mashetani Wamerudi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia hizi na kuonyesha dhamira na athari zinazotokana na taswira zenyewe. Utafiti huu ulinuia kujibu maswali yafuatayo: Je, ni aina gani za taswira anazotumia S.A Mohamed katika tamthilia za Pungwa, Kivuli Kinaishi na Mashetani Wamerudi, Matumizi ya taswira yana athari gani katika tamthilia teule na Je, ni dhamira zipi zinazotokana na matumizi ya tawsira katika tamthilia teule. Nadharia ya umitindo iliyotumiwa katika utafiti huu ilituwekea msingi imara wa kutathmini matumizi ya taswira kama mbinu iliyotumiwa na S.A. Mohamed kuwasilishia maudhui mazito katika tamthilia zake. Kupitia kwa matumizi mufti ya taswira maswala yanayohusu jamii kama vile siasa, uchumi, uozo katika jamii, uongozi mbaya, elimu na mengine mengi yamejadiliwa. Matokeo ya utafiti huu yamethibitishwa kuwa katika sanaa ya uandishi kipengee mahsusi cha lugha kinaweza kutumiwa kama kigezo cha kuainisha kazi za mtunzi binafsi. Mapendekezo yametolewa kuhusu maeneo mengine yanayoweza kufanyiwa utafiti.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMatumizi Ya Taswira Katika Tamthilia Za Said Ahmed Mohamed: Pungwa, Kivuli Kinaishi Na Mashetani Wamerudien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States