Search
Now showing items 1-3 of 3
Nafasi Ya Wanawai Katika Uhifadhi Wa Mazinglra Katika Riwaya Ya Nakuruto- Mtazamo Wa Fasihi Ya Ufeministi Wa Kiekolojia
(University of Nairobi, 2014)
Fasihi ya kiekolojia ru uwanja uliochipuka miaka ya 1970 na kuendelea rniaka ya 1990
kuchanganua, kuchambua na kuhakiki kazi za kifasihi. Uwanja huu unalenga kuangazia fani na
maudhui katika matawi ya fasihi kiekolojia ...
Mitazamo Kuhusu Kiswahili Miongoni Mwa Wazungumzaji Wa Kijaluo- Kifani Cha Shule Za Msingi Katika Kaunti Ya Migori.
(University of Nairobi, 2014)
Katika tasnifu hii, tumechunguza mitazamo kuhusu Kiswahili miongoni mwa
wazungurnzaji wa Kijaluo kwa kurejelea shule za msingi katika Kaunti ya Migori.
Madhumuni ya utafiti ni, kupambanua mitazamo kuhusu lugha ya Kiswahili ...
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)
Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui
mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo.
Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ...