Show simple item record

dc.contributor.authorKilingo, Irene G
dc.date.accessioned2020-05-11T06:35:49Z
dc.date.available2020-05-11T06:35:49Z
dc.date.issued2019
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/109376
dc.description.abstractMatini huweza kuakisiana kwa namna moja ama nyingine. Sababu ni kwamba, waandishi hujihusisha na kukusanya na kupanga yaliyoko katika kazi za awali ili kuunda kazi zao. Kwa sababu hii, kazi itakayoundwa itakuwa na mshabaha fulani wa kazi nyingine ya awali. Matini za kifasihi zinaweza kuingiliana kimatini. Mwingiliano huu unaweza kubainika sio tu katika kazi za utanzu mmoja bali pia katika kazi za tanzu tofauti za kifasihi. Utafiti huu umelenga kuthibitisha kauli hii kwa kuchunguza mwingilianomatini katika Utenzi wa Fumo Liyongo na tamthilia ya Kifo Kisimani. Katika kuhakiki haya, tumetumia nadharia ya mwingilianomatini iliyoasisiwa na mwananadharia wa Kifaransa; Julia Kristeva. Kutokana na utafiti huu, imebainika kuwa, kuna kuna vipengele vya mwingilianomatini katika Utenzi wa Fumo Liyongo na Kifo Kisimani. Hali kadhalika, kazi hizi zimeonyesha kuingiliana katika viwango vya usimulizi, maudhui, dhamira, uhusika na pia mandhari. Aidha, athari za mwingilianomatini katika udhamirishaji na mtindo wa tamthilia ya Kifo Kisimani zilibainika. Utafiti huu umethibitisha kuwa kuna mwingilianomatini katika Utenzi wa Fumo Liyongo na Kifo Kisimani.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMwingilianomatini Katika Utenzi Wa Fumo Liyongo Na Tamthilia Ya Kifo Kisimanien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States