Show simple item record

dc.contributor.authorMwenderani, Beatrice
dc.date.accessioned2013-02-26T08:00:35Z
dc.date.available2013-02-26T08:00:35Z
dc.date.issued2012
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/11537
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia taswira ya mwanamke katika tamthilia mbili za Kiswahili. Tumeangalia picha ambayo mwanamke amepewa na jamii katika tamthilia za Kilio Cha Haki (1981) na Pango(2003). Katika sura ya kwanza tumeshughulikia tatizo la utafiti,madhumuni ya utafit,nadharia tete, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa juu ya mada na njia za utafiti. Katika sura ya pili tumeshughulikia taswira hasi na chanya aliyopewa mwanamke na jamii katika tamthilia ya Kilio cha Haki (1981) Alamin Mazrui na kisha tukaangazia njia ambazo mwanamkeanaweza kuzitumia ili kujikomboa. Sura ya tatu imeshughulikia taswira chanya na hasi aliyopewa mwanamke na jamn katika tamthilia ya Pango (2003) Wamitila K.W na vilevile tukaonyesha njia ambazo mwanamke anaweza kutumia ili kujikomboa. Sura ya nne imeshughulikia hitimisho la utafiti wetu pamoja na mapendekezo.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleTaswira ya mwanamke katika tamthilia mbili za Kiswahilien_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record