Show simple item record

dc.contributor.authorOnyoni, Joyce K
dc.date.accessioned2013-02-26T08:00:36Z
dc.date.available2013-02-26T08:00:36Z
dc.date.issued2012
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/11541
dc.description.abstractUtafiti huu ulishugulikia usawini wa wahusika wa kike katika tamthilia za natal a na Mama ee kwa kutumia nadharia ya ufeministi. Madhumuni ua utafiti huu yalikuwa; Kuchunguza jinsi watunzi walivyowasawiri wahusika wa kike katika tamthilia za Natala (2011) na Mama ee (2011), Kuchunguza matumizi ya lugha baina na kati ya wahusika katika tamthilia za Natala (2011) na Mama ee (2011), Kuchunguza mandhari ya usimulizi na usimulizi wenyewe katika tamthilia za Natala (2011) na Mama ee (2011). Katika sura ya kwanza tulielezea kwa ufupi maswala ya kimsingi katika utafiti. Tulieleza tatizo letu la utafiti na kuorodhesha madhumuni na nadharia tete za utafiti huu. Katika sura hii pia tulishugulikia sababu za kuchagua mada, upeo wa utafiti, misingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada hii na njia ya utafiti. Tulitumia mbinu ye maktabani katika kukusanya data tuliohitaji na kuichanganua. Katita sura ya pili tulishugulikia vipengele vya fani katika tamthilia. Katika sura ya taro tulushughulikia ubabedume na historia yake. Katika sura ya nne nayo tulishughulikia wahusika wa kike katika tamthilia ya Mama ee na sura ya tano tukachunguza wahusika wa kike katika tamthilia ya Natala. Katika sura ya sita tulishughulikia muhtasari wa utafiti na mapendekezo ya utafiti.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUswari wa wahusika wa kike katika tamthilia za Natala na Mama Eeen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record