Show simple item record

dc.contributor.authorKenguru, P.J. Maina
dc.date.accessioned2021-08-05T09:23:06Z
dc.date.available2021-08-05T09:23:06Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155086
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia athari za fasihi simulizi katika uandishi wa riwaya ya Utubora Mkulima. Sura ya kwanza ni somo la utafiti,madhumuni,maswali ya utafiti,sababu za kuchagua somo,upeo na mipaka,misingi ya nadharia na yalioandikwa kuhusiana na mada hii na methodolojia. Sura ya pili imeshughulikia tawasifu ya Shaaban Robert mwandishi wa riwaya ya Utubora Mkulima, falsafa yake kuhusu, fedha, dini, ndoa na athari za waandishi wengine katika uandishi wake. Katika sura ya tatu tumeangazia suala la mwingiliano matini kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi tukizingatia Historia na mazingira, wahusika na tamathali za semi. Sura ya nne tumeshughulikia suala la usimulizi na sura ya tano ni hitimisho linaloangazia matokeo ya utafiti, mapendekezo kuhusu utafiti wa baadaye. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya vikale.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectAthari Za Fasihi Simulizi Katika Riwayaen_US
dc.titleAthari Za Fasihi Simulizi Katika Riwaya Ya Utubora Mkulimaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States