Athari Za Fasihi Simulizi Katika Riwaya Ya Utubora Mkulima
View/ Open
Date
2013Author
Kenguru, P.J. Maina
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu umeshughulikia athari za fasihi simulizi katika uandishi wa riwaya ya Utubora
Mkulima.
Sura ya kwanza ni somo la utafiti,madhumuni,maswali ya utafiti,sababu za kuchagua somo,upeo
na mipaka,misingi ya nadharia na yalioandikwa kuhusiana na mada hii na methodolojia.
Sura ya pili imeshughulikia tawasifu ya Shaaban Robert mwandishi wa riwaya ya Utubora
Mkulima, falsafa yake kuhusu, fedha, dini, ndoa na athari za waandishi wengine katika uandishi
wake.
Katika sura ya tatu tumeangazia suala la mwingiliano matini kati ya fasihi simulizi na fasihi
andishi tukizingatia Historia na mazingira, wahusika na tamathali za semi.
Sura ya nne tumeshughulikia suala la usimulizi na sura ya tano ni hitimisho linaloangazia matokeo
ya utafiti, mapendekezo kuhusu utafiti wa baadaye. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya
vikale.
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
- Faculty of Arts [662]
The following license files are associated with this item: